Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,686
@CUTE happy birthday najua birthday yako ni badae tar 21 ila nakuwish kabisa sasa hivi maana tunakwenda out so tukirudi naweza nikachelewa kukuwish hapa jamvini
uzungu huu umetutenga na mila na desturi zetu. nosence.......
uzungu gani ndugu?...so u mean uzungu ama utajiri? manake nilivyokuelewa ni kuwa umaskini ni sawa sawa na uafrika. funguka nikuelewe vizuri ..ama u mean lugha niliyotumia? but mwenyewe ujumbe ameupata kaka so no worry
have you read/heard ALIENATION? kama umekipata kitu hicho, basi utanielewa lakini kama hujawahi kukisikia hutonielewa St. Ivuga.
Na wala sijazungumzia utajiri wala umasikin, nimezungumzia kutengwa na mila na desturi zetu kama waafrika. uzungu huo!!!!!
mila na desturi zetu ni zipi? komputa unayotumia hapo umritoa sumbawanga si ndio? dont be mjima bwana ..dunia inabadilika kaka.
Nahamu nipite kimya ila nimeshindwa!!! Ndo kusema M4C ya MMU haijakufikiaaaaa?! Au ndo mtu mzima hutishiki na nyau? Ngoja nitoke mkuku!
ndo yale yale mkuu bt not to that extent, si unacheck hata lugha zenyewe kaka!!!!! hivi hapy birth day to you kwa kikwenu ni aje.
sijakuelewa kabisa...sijui unataka ku-make point gani? kwamba tusieherehekee birthday ? ama hutaki tunywe waine ama ? niambie kwanza kwa upande wako manake kama kama unataka kuendekeza ujina basi hata mwaka wako wa kuzaliwa walikuwa hawaukumbukiafadhali yako wewe unajaribu kukataa kutengwa na utu wako. St. ivuga ataelewa tu what we mean
sijakuelewa kabisa...sijui unataka ku-make point gani? kwamba tusieherehekee birthday ? ama hutaki tunywe waine ama ? niambie kwanza kwa upande wako manake kama kama unataka kuendekeza ujina basi hata mwaka wako wa kuzaliwa walikuwa hawaukumbuki
By the way, unadhani kwa nini lara 1 alitamani atoke kimya kimya?