Happy birthday Clouds Media Group, ni miaka 21 ya legacy

Hongera zao clouds kwa mapinduzi makubwa waliyofanya hususani kwenye tasnia ya burudani tangu kuanza kwao.

Ila wajitahidi wafike maeneo yote nchini miaka 21 ingetosha kabisa kwa wao kufika kila mahali, wanazidiwa mpaka na redio free wako maeneo karibu yote ya nchi.
 
Mbona wanafika. Nafkir tatiZo lipo kwenye mitambo yao Mara nyingi huzidiwa
 
RFA na Kiss Fm zimezalisha watangazaji bora sana, itoshe kusema Sahara Media ni kama chuo flani hivi...

Marehem Isack Gamba
Godwin Gondwe
Zakaria Msabaha
Fredrick Bundala
Peter Omary huyu baadae alienda VOA
Jacob Usungu,mzee wa zilipendwa
George Sandu, Kidbway
Paul James
Anko Sam
John Karan alikuwa Kiss Fm
Vicky Butterfly alikuwa Kiss Fm pia
Steve Kafire, kuna kipindi alienda East Afrika Radio, sijui sasa hv yupo wap...list ni ndefu waliopita pale sahara media
Steve kabuye kafire yupo etv ni producer wa vipindi hasa Cha jonino, jamaa nilikuwa namkubali Sana kwenye the cruise
 
Back
Top Bottom