Happy birthday Clouds Media Group, ni miaka 21 ya legacy

glass amo

JF-Expert Member
Aug 11, 2017
3,568
4,192
Ni miaka 21 Sasa ya legacy mmeiweka industry ya media Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla. Hakika mnastahili pongezi za kutosha. Sio Jambo la kitoto hata kidogo. Wengi walikuja wamepotea lakini wewe umebaki kinara na imara kila uchwao.

Hata leo wewe ni kinara đź’Ž
 
Production iliopo CloudsFm ni kubwa sana..infact ni the best in the country.

Happy +1 CloudsFm

RIP Ruge
Lakini ni msikiko flani hivi wa redio free na kiss fm...skiko wa base flani hivi la hatari hakuna redio yenye nao hapa bongo.. sijui kwanini wamezembea redio zao zikafa.

Ukiwa unatafuta station unajua kabisa hii niliyopata ni redio free africa
 
Redio free na Kiss ile mitambo itakuwa ni ya mjerumani kitambo hicho..ina nguvu balaa,hizi fm radio mpya zina clarity lakini usikivu bado ni hafifu..

Kukosa Ubunifu na kuondaka kwa watangazaji wao bora kwa mkupuo ndo kumeiua Sahara media
 
Nafikiri walikosa watu wazuri wa kuwaajiri kwa ajili ya marketing na creativity . Kitu ambacho clouds wanazingatia Sana kuliko hata kua na presenter wenye masifa bila weledi Kama ile media uchwara huko
 
Kina fred waa
Baruani muhuza
Samadu maduhu
Tom chilala na wengine walikua motoo

Naona karibu wote wapo azam siku hizii
 
Halafu walikua wanapatikana karibu masafa yote fm,am,sw1 n.k ulikua ukifungua hata ukiws uvunguni kitu imooo base la ajabuu
 
Kina fred waa
Baruani muhuza
Samadu maduhu
Tom chilala na wengine walikua motoo

Naona karibu wote wapo azam siku hizii
RFA na Kiss Fm zimezalisha watangazaji bora sana, itoshe kusema Sahara Media ni kama chuo flani hivi...

Marehem Isack Gamba
Godwin Gondwe
Zakaria Msabaha
Fredrick Bundala
Peter Omary huyu baadae alienda VOA
Jacob Usungu,mzee wa zilipendwa
George Sandu, Kidbway
Paul James
Anko Sam
John Karan alikuwa Kiss Fm
Vicky Butterfly alikuwa Kiss Fm pia
Steve Kafire, kuna kipindi alienda East Afrika Radio, sijui sasa hv yupo wap...list ni ndefu waliopita pale sahara media
 
Kwanini zinaitwa Sahara media
 
Nafikiri walikosa watu wazuri wa kuwaajiri kwa ajili ya marketing na creativity . Kitu ambacho clouds wanazingatia Sana kuliko hata kua na presenter wenye masifa bila weledi Kama ile media uchwara huko

Sahara Media tatizo la kwanza base yake haipo DSM, pia boss wake sijui njaa au ubahili... nafikiri siasa pia zilimpeleka puta.
 
Back
Top Bottom