Happy Birthday Charlie Chaplin!

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Tarehe 16 April tunaadhimisha miaka 122 sikukuu ya kuzaliwa kwa yule gwiji wa zile sinema za vichekesho namuongelea Sir Charles Spencer "Charlie" Chaplin huyu bwana kwa kweli hatasaulika milele kwa vichekesho vyake! Alizaliwa tarehe 16 April 1889 na kufariki tarehe 25 December 1977! Happy birthday Charlie Chaplin and rest in peace!
(20)+Charlot+Charlie+Chaplin+0128.jpg
 
Du umenikumbusha zile sinema za gari la omo linakuja mji mzima unatangaziwa kuna sinema mjini ukuta ndio ilikuwa screen watu tunajazana kibao lakini hapo hukosi wakorofi mara upigwe konzi na aliyekupiga humuoni au mnarushiwa mayai vinza ili kuharibu hali ya hewa na mwisho mnamwagiwa upupu ikiwa ndio kidali poo uka lale nao,na kama mvua ikija ghafla picha ndio inaishia hapo .watu walikuwa wananjaa kama vile dr slaa anahutubia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom