Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,532
- 81,261
Acha ugomvi dadaHahaha pole weee wewe mbona kila sehemu huwa unakuta nimekuwahi kasoro kule jikoni tu ndio umenipiga gepu![]()
Acha ugomvi dadaHahaha pole weee wewe mbona kila sehemu huwa unakuta nimekuwahi kasoro kule jikoni tu ndio umenipiga gepu![]()
Hahahanahisi umehamishia kitanda, ofc humu aisee. Sio bure mamdogo



Thanks Numbisa.. Hivi ile picha uliyopost kwenye ule uzi wa Simba SC ni yako?![]()
Kachalii tena brother.. Hapo unataka kurudisha ugomvi sio burehappy birthday kachalii
ugomvi wetu haupo tena
Kula lazima bana ila kuoga hiariHaha mtoto umenishinda tabia,haupendi kuoga bhas hauli keki.
Hahaha hamna bana ndio natimba fasi hizi time hiiUmemute tu unatuinjoi
Duh nikajua ni wewe bana.. Hamia Simba aseeeHapana sio yangu. Mie shabiki wa Yanga daima
Hahaha kwakweli sitaweza kuwashinda wote nguvuWewe leo sio wa kukataa wala kukubali. You just have to listen
Duh nikajua ni wewe bana.. Hamia Simba aseee
Bado iko palepale. Hebu kunywa maziwa kwanza ukueAsante sana babu. Ila ndio lift ile kwenye kwenye hisabati umeniacha tayari babu?
I hope hiki sio kijembe bosshongera sana chaliifrancisco genius wa JamiiForums sisi wengine ni malofa tu