Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,533
- 81,262
Ata mie hvyo hvyo muulize ivuga anavofaidi

Ata mie hvyo hvyo muulize ivuga anavofaidi

Aibu sijaona mm

Ni vitu ziko kwenye simu yako hivyo?
Aibu sijaona mm![]()


si tunatofautiana ndio maana. Inawezekana na wewe unapenda chura ndio maana.Nmpendeje chura mimisi tunatofautiana ndio maana. Inawezekana na wewe unapenda chura ndio maana.
Mkuu hii hbd yako ingenoga zaid kama ingeangukia j pili muda tunamuwasha man u pale anfield
Hahaha Kop usiwaze kabisa huyu tayari ashakufa tunaenda kufanya confirmation tu.Mkuu hii hbd yako ingenoga zaid kama ingeangukia j pili muda tunamuwasha man u pale anfield
All in All happy birthday
YNWA
YNWA KopHappy birthday kop
Wewe kazi yako ni kuwahi na cake?
Rafiki Chura siyo uchafu!Na chura iheshimiwe na watu wote!!Acha kupost uchafu kwenye siredi ya mtoto wewe
Niliona aibu kweli yaniAcha kupost uchafu kwenye siredi ya mtoto wewe
Usicheke
Thank you dadaakeHappy birthday chaliii