Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
binti Mtambuzi hongera kwa besdei,baba kakupa zawadi gani?
View attachment 62558 and long life
Wow!Thank you mayenga lol!My belated Happy birthday Cantalisia
Asante sana my swaiba YNNAH.Happy b'day to you
Amina Mtalingolo,asante sana Mtaly......,be blseed!HAPPY BORN DATEmwenyezi mungu ashukuriwe kwa kukuafikisha huo umri uliofikisha, twakuombea kheri na baraka tele katika maisha yako yalobakia hapa duniani
Asante sana Mzee wa mia,ubarikiwe figganigga!happy birthday cantalisia. Mungu akujalie maisha malefu yenye furaha. mia
Nipo kaka si unajua tena tunajiandaa kulea ndio maana hata mme wangu anaadimika!missing you too...
ulienda wapi sexy cantalisia?
tutafutane tupeane zawadi za iddi basi..
Nipo kaka si unajua tena tunajiandaa kulea ndio maana hata mme wangu anaadimika!
Karibu nyumbani basi!
Asante sna,usisahau zawadi za mtoto!nitakaribia
hongera
Asante mpnz,may god bless you too dia.
Asante mkuu,ubarikiwe sana.
Asante sana my dia CUTEHappy Birthday Cantalisia!!