Happy Birthday Cantalisia!!

Kwanza ulilala wapi wewe Cantalisia, nasikia tu uko town lakininyumbani huonekanai, unajua sijakuozesha lakini...................LOL
Hata mahari yangu sijalamba, nitakufanyia jambo baya mwana ukome.......................

Happy Birthday my little angel................ Cantalisia
 
Last edited by a moderator:

Hahaha hahah ahha!thus why i love u sisy!

Papa Rejao is so darling,making my life so wonderful in did!

Atakuja baadae kidogo kutoa mpango mzima wa shuhuli lol!

Kuhusu umbea wala usitie shaka lzm jion tukae na kuongea vizuri hahaha hahah!
 
Last edited by a moderator:

Hahaha hahha hahhah!

Asante baba yangu,

Km sijalala home ujue ndio basi tena niko kwenye mikono salama kbs ya papa Rejao lol!
 
Last edited by a moderator:
hapy birthday cantalisa,mwenyezi mungu akujalie maisha marefu na akutimizie haja za moyo wako.be blessed!
 
HAPPY BORN DATEmwenyezi mungu ashukuriwe kwa kukuafikisha huo umri uliofikisha, twakuombea kheri na baraka tele katika maisha yako yalobakia hapa duniani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…