Happy birthday Candy

Junior Rutashoborwa

JF-Expert Member
Oct 13, 2019
228
210
Hi everybody in here,

Siku ya jana ukoo wa professor Juma Rutoshoborwa na Dr. EliPendo Tibaijuka tumefurahi kupokea mgeni mpya( mtoto amezaliwa) Kwa kweli tumefurahi sana.

Candy ni mtoto wa cousin yangu anayeishi Berlin, Germany. But ka-Candy sio kajerumani maana baba yake (Cousin ) ni mtanzania na mama yake (Dr. Hansy ) ni mtanzania pia japokuwa ana asili ya Netherland.

Nimeongea na cousin asubuhi ya leo amesema arobaini ya Candy itafanyikia nyumbani kwetu wilaya ya Kinondoni, maeneo ya Masaki.

Cousin amesema atanipatia kadi 10 kwa ajili ya kualika marafiki zangu. Of course, haitakuwa party kubwa sana ila wageni mbalimbali watakuwepo.

I think msanii Ali Kiba atatumbuiza siku hiyo. Your homely welcome.

Ntatoa kadi 5 kwa wanaJF wenye residence Masaki. Wale waliotayari watanicheki.

But bear in your mind...kuna dressing's code special kwa wageni wote. Dark blue suit for men and Nike shoes. Ambazo zitagharimu kiasi kidogo cha pesa kama Tsh. 500K. Na duka ni moja tu lipo Mlimani City. Ntawaelekeza.

Karibuni sana rafiki zangu.

JAMBO TANZANIA
 
Homely goodbye
 
Back
Top Bottom