Happy Birthday Candy Kisses

Candy kisses

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
297
Reaction score
211
Leo 13 January nakumbuka siku yangu ya kuzaliwa.
Moyo wangu umejaa shukrani nyingi kwa Mungu wangu aliyenipa mwaka mwingine katika maisha yangu.
Kila nilichonacho maishani kwangu naona kama ni Baraka kubwa sana Wazazi, Ndugu, Marafiki ,Elimu, Kazi,Afya njema na mengine mengine ambayo wengine hawana vyote hivi vinanipas kila sababu ya Kumshukuru sana Mungu kwamba ananizidi kinibariki na kuniongoza hata pale nisipotarajia.
Namshukuru Mungu kwa wazazi wangu ambao ni kila kitu katika maisha yangu...kwa walivyonilea Mungu zidi kuwabariki usiwapungukie.
 
Happy birthday Candy kisses...

M'nyezi Mungu azidi kukujazi baraka zake...akupe umri kuliko comrade Bob Mugabe...
Na akupe busara za kunialika keki........
 
Last edited by a moderator:
hp birthday mdada, leo umezaliwa upya.ifanye siku hii kuwa ni siku ya kupitia rekodi ya maisha yako ya nyuma ili uone ni sehemu gani ulikosea na iwe ndiyo mwanzo wa kuwa Candy kisses mpya
 
Last edited by a moderator:
hongera ila kumbuka kuna death day pia.
 
Happy birthday mtoto mzuri
 
happy birthday beibe Mungu akupe afya njema na uzidi kuwa mkubwa hadi miaka 100
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…