CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Thank You charminglady and Mamndenyi turning 12yrs old today was not easy journey.
Mamndenyi miaka 12 au ndo hicho kiingilishi kimenishinda
ina maana bado unanyonya heeee hongera zako
Asante ndio miaka yangu sisi watoto wa sasa tunajifunza mambo harkara sana...sherehe itakuwa Skylight beach resort Nyegezi mwanza wana JF mwanza wingi mnakaribishwa....jioni ya leo kuanzia saa mbili usiku kufika kwako ndio ukamilifu wa shughuli hii.
Mamndenyi
heeee
muwe munawatambulisha
siyo t
mnakaa hadi siku za kuzaliwa
Please mpe hepi bethday sana
muulize hiyo keki itakuwa mitaa ipi
na je wapo na The secretary au
ni kila mutu kivyake?
Thank You charminglady and Mamndenyi turning 12yrs old today was not easy journey.
Nahisi itakuwa ni typing error.... Hiyo kidogo kufunguliwa... May be ulitaka Kusema Charcoal Ribs???
Namaanisha hiyo hiyo charminglady au wataka niongeze siku kidogo?
Heshima yako charminglady
Heri ya siku ya kuzaliwa kaka mkubwa...
Asante ndio miaka yangu sisi watoto wa sasa tunajifunza mambo harkara sana...sherehe itakuwa Skylight beach resort Nyegezi mwanza wana JF mwanza wingi mnakaribishwa....jioni ya leo kuanzia saa mbili usiku kufika kwako ndio ukamilifu wa shughuli hii.
Mamndenyi
....Jambo sana..missing uHujambo weye???
....Jambo sana..missing u