Ni kwa vile tu wabongo kuzungumzia kifo tunaona ni kama uchuro..!! Ila ukweli ndiyo huo, kwamba kwenye siku zake za kuishi, mwaka mmoja umeshapungua...
Unless hujatafakari maana ya birthday
Mathalani mtu ana lifespan ya miaka 30
Unapomfanyia birthday ya mwaka wake wa kwanza, haimaanisha kuwa amebakisha miaka 29?
Sasa utaelewa kuwa birthday means one year less to his/her life span
Nadhani umenielewa
Ni kwa vile tu wabongo kuzungumzia kifo tunaona ni kama uchuro..!! Ila ukweli ndiyo huo, kwamba kwenye siku zake za kuishi, mwaka mmoja umeshapungua...
Happy birthday mkuu Melo. Aliekujalia akili ya kuanzisha kitu kizuri kama hiki aendelee kukupa uwezo wa kukiboresha. Usiangushwe na chochote daima. JF idumu milele. Vizazi na vizazi.