ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Asante sana bestito...
Mama kathema etii atakaekuja kwenye party aje na nyama kilo3 kila mtu na debe nne za mbege
Shamra shamra zinaendelea kule kwenye Group la passion kum wish na kujumuika pamoja ktk siku yake hii ya Leo `valentina`
Mie mlinitoa kwa chuki zenu binafsi
Shamra shamra zinaendelea kule kwenye Group la passion kum wish na kujumuika pamoja ktk siku yake hii ya Leo @`valentina`
Mie mlinitoa kwa chuki zenu binafsi
Jamani best mie ndio unaninyima cake hivi hivi? Acha uchoyo bwana
Sasa ukija itabidi nimfiche Nyani Ngabu kwapani mana sina imani nawe
Asante mamii,salimia ule mchepuko wako Eli79
Sasa ukija itabidi nimfiche Nyani Ngabu kwapani mana sina imani nawe
Happy besidei valee
Happy born day!
Kumbe nawe ni Leo?