Happy Birthday Bestito Passion Lady


Toka huko
 
UNAWASIFIA WANAOSIFIWA
NIKO NAKUCHEKI NIONE KAMA UNAFAA AU HAUFAI NIKUSHIT KAMA YULE MSHUMUNDU MWENZIO
MWAMBIE ANAJUA YOTE SIPENDI WATU WALIO NDDANI YA TEAMBAZAZI HATA KIDOGO
NA NILIAMBIWA NA BINAMU YANGU Mr Rocky KUMBE NDIVYO ULIVYO

NAONA SIWEZI ENDELEA NAWEWE NAHISI ...........:cool2:
Jamani na wewe mpnz wangu Kwani hapo nimefanya nini?
 
Last edited by a moderator:
Kumbe wifi huyu Ntuzu ana matatizo alikuwa na wwe
eti anajigongomelea kwangu hajui kuwa hapa STRONG MNINGA (mwalimu wa wanawake jamvini)

namwangalia tu halafu ameshawajaza watu maneno mengi hadi
yule Shem wako wa zamani anajua kamjaza maneno yaani mpaka
basi utafikiria kweli yu nami kumbe hamna chochote ANANIBOA UJUE yani BASI
Mwone ndio maana nimekuacha
 
Last edited by a moderator:


Mmmmh na wewe mpnz wng!!!

Unajua sisi wasukuma sio waongeaji sn km hao Wa kishimundu! Sisi ni wazee Wa vitendo tu! Niambie mpnz wangu tatizo nini?
 
Last edited by a moderator:


Huyo miss chagga hakutakii Heri! Shauri yako!
 
Last edited by a moderator:

Nimemwacha kwa sababu ya maneno yake yeye kila kitu mjuzi mi siwez.kuwa mwanafunzi kila siku
 
Last edited by a moderator:
unajikosha kwangu sio?
nimepata yote ambayo yamekufanya utengane na miss chagga
unakimbilia KOMBORA utaliweza kulimudu MSHUMUNDU Kashindwa
utaweza weweeee

KIJANA CHUNGA SANA NAKUONA UNAVYONITANGAZA HAPA
ladyfurahia Kweli hii inaweza Kua sababu ya kutengana!?
 
yeeeeeeeees wifi mm mwenyewe naona nimeshachoka maana kila kukisha lady lady lady hatakuja kujing'ata mdomo tu lady lady lady sijui anataka nani afahamu kuwa yuana ladyf hapa mjengoni mpaka mshumundu M amekuja na amoeona kuwa yu ana mm haaaa!!!! ananikwaza bwana sijui nifanyeje kaharibu hapa mjengoni wifi


Nimemwacha kwa sababu ya maneno yake yeye kila kitu mjuzi mi siwez.kuwa mwanafunzi kila siku
 
alafu mchoyo pesa yake utaiona kwenye wallet tu mimi siwezi.....
 
asante wifi kwa kunifumbua machondo maana nimemuuliza leo sherehe wapi ya bday yako?
akawa anazuga kumbe ni mchoyo aliyepindukia na ni mshamba ile mbaya
alafu mchoyo pesa yake utaiona kwenye wallet tu mimi siwezi.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…