Happy Birthday Bestito Passion Lady

my wiii usiwasikilize watu wanaopenda kugombanisha wanataka kukuondolea bure tunda lako huyo binamu yangu ana mtu yeyote wao wanajipendekeza kwake si wanaona sasa yuko juu ndo maana wanajipendekeza ACHANA NAO KABISA WLA USIJALI


Walikuwa wapi kipindi kile alivyokuwa choka mbaya?
Mr Rocky moyo wangu mimi mweee akili mawazo yangu yote kwako kumbe ni utapeli....
 


Afadhali umekuja binamu yangu uniteteteee maana hawa akina Mamndenyi na Passion Lady na Ntuzu wanataka kuniharibia hapa
Wanaona nafaidi sana kuwa na miss chagga wanataka kuweka mchanga hapa kwenye sukari yangu ya moyo
Bora binamu ladyfurahia umekuja unitie joto hapa
hawa watu hawapendi kabisa maendeleo ya watu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…