Happy birthday Bantu Lady

Happy birthday Bantu Lady

😢😢😢, pole auntiee mzuri mmmh.

Drink water na panadol extra kipenzi au hulali vizuri... Labda 😥😩😩

Hope you get well
Asante mdogo ake, nilikunywa usiku wa kuamkia leo naona huko kichwani vimekorofishana.
 
Naelewa ni utani ankoo akeee hunaga hizo mamboo kabesaa!

Weee unamtengenezea nani ankoo akee ukipata wawilii usinisahau auntie ako hapaa🙇😄!!
Ni ki singo maza nimekibahatisha kupitia id yangu fulani hivi....

Yupo portable ana 25, natengeneza njia tu vyedi....

Mpaka siku atakayoanza kuniita baby, na malavi davi

Uzuri sio mchangiaji mzuri humu.... Ila yupo gado sana 😍😍
 
Ankoo Penseli 4 kasema ananitafutia shem akeee namie niringe etiii Kweli maji ya bahareee na mafushoo yanaendelea kufanya Kazi yake 😊😊😊😄!
Nawe uongeze kufunga na kuomba 😄😄 kwani!
Nimeona Ankoo ana mambo 😅😅😅😅 vizuri wa wapi sasa? Maana ulisema JF umenawa mikono. Miye aaah nifunge na kusali kwaajili ya mwanaume thubutu. Nirafunga kwa mengine siyo mwanaume hawa wapo kibao, unachagua tu yupi utulie naye.
 
Ni ki singo maza nimekibahatisha kupitia id yangu fulani hivi....

Yupo portable ana 25, natengeneza njia tu vyedi....

Mpaka siku atakayoanza kuniita baby, na malavi davi

Uzuri sio mchangiaji mzuri humu.... Ila yupo gado sana 😍😍
Tunaendeleza maombii na kujifukiza ankooo hapo ni wizoo sio shemmm!!!
Kila la kherii anko akee ila utulie uache bange zako sasa make wee akili yakoo Mbili kasoro!!😊🤗!

Sasa usitumie hizo lughaa mbaya ankoo !!
25 basi binti mtoto kabisa Enjoyyyyyyyy maisha ndio hayahayaaa anko akeee!
 
Nimeona Ankoo ana mambo 😅😅😅😅 vizuri wa wapi sasa? Maana ulisema JF umenawa mikono. Miye aaah nifunge na kusali kwaajili ya mwanaume thubutu. Nirafunga kwa mengine siyo mwanaume hawa wapo kibao, unachagua tu yupi utulie naye.
Daaaah ubaya sisi tupogo cheap sana. Sijui kwann yaani 🤣🤣🤣🤣🤣.

Tukiona tako tu, akili zinahama asee sijui kwann,

Nyie mnaweza kuficha sana hisia na kujicontrol njoo kiumeni sasa.

Utasema chizi la wapi sijui..... Anyway ni nyege tu ndo zinatusumbua tu hamnaga kingine 🤣🤣🤣 zinawasha kama pilipili manga
 
Tunaendeleza maombii na kujidukiza ankooo hapo ni wizoo sio shemmm!!!
Kila la kherii anko akee ila utulie uache bange zako sasa make wee akili yakoo Mbili kasoro!!😊🤗!

Sasa usitumie hizo lughaa mbaya ankoo !!
25 basi binti mtoto kabisa Enjoyyyyyyyy maisha ndio hayahayaaa anko akeee!
No worries auntiee mzuri ntatulia 😀🤣🤣😆😆
 
😅😅😅😅😅😅, una ka utani na mjeda eeh..... 🤣🤣😶 Wizooo
Nimeona Ankoo ana mambo 😅😅😅😅 vizuri wa wapi sasa? Maana ulisema JF umenawa mikono. Miye aaah nifunge na kusali kwaajili ya mwanaumthubutu. Nirafunga kwa mengine siyo mwanaume hawa wapo kibao, unachagua tu yupi utulie naye.
Alikosea ni Wizoo sio shemm .. Penseli 4 kapata wa kumbebishaa anasubiria kuitwa babe tyuu!

Mie Jf nawawezeaa wapi lol siwaweziii na sitrakiiii trenaaaa 🙌🙌🙌!

Acha nipambane naharee yangu tu kwakweli 😊😊!
 
Alikosea ni Wizoo sio shemm ...@Penseli 4 kapata wa kumbebishaa anasubiria kuitwa babe tyuu!

Mie Jf nawawezeaa wapi lol siwaweziii na sitrakiiii trenaaaa 🙌🙌🙌!

Acha nipambane naharee yangu tu kwakweli 😊😊!
Ooh kumbe ni wizzo sawasawa nilikosea lugha basi,

Mi haya mambo ndo nimeyajua juzi juzi tu, 😁😁😁😁....
 
Tunaendeleza maombii na kujifukiza ankooo hapo ni wizoo sio shemmm!!!
Kila la kherii anko akee ila utulie uache bange zako sasa make wee akili yakoo Mbili kasoro!!😊🤗!

Sasa usitumie hizo lughaa mbaya ankoo !!
25 basi binti mtoto kabisa Enjoyyyyyyyy maisha ndio hayahayaaa anko akeee!
Mdogo ake naye anachanya madesa. Ni wifi bana Penseli 4 siyo shemeji. Tungekuwa wa kiume ndiyo ungesema shemeji yenu. Tonniah mpk ukamchanganya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom