Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,710
Kwa kweli love, na tupo hapa kwaajili hiyo na kuelimika na kuburudika 😍Cheka utanue mapafu kipenziii 😘!!
Kwa kweli love, na tupo hapa kwaajili hiyo na kuelimika na kuburudika 😍Cheka utanue mapafu kipenziii 😘!!
Muulize Tayukwa wakati wenzake wanatoa nyuzi za kufungukia wanaowafukuzia yeye alikuwa wapi? 😄😄😄😄😄Kabesaaa dear jf stress free zone!
Anashoia sana, yupo humu kama hayupo. Na akizuka ni kama hivi kama mzee wa Ini Oyaaaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂! Tena sio mgeni nae wa muda humu sijui alikwama wapi hata!
Kwenye hizo picha Bantu Lady mwenyewe ndiyo yupi 🏃🏃Helloowww guyss!!!
Today a true queen was born and I take this chance to wish her a very sweet, happy , lovely ,enjoyable, and an ameizing birthday!
Mary God bless you and grant you many more years to celebrate!
Happy birthday Bantu Lady
View attachment 2662769View attachment 2662770
Ni mmoja wapo babuu!!Kwenye hizo picha Bantu Lady mwenyewe ndiyo yupi 🏃🏃
Shughuli za kilimo zinanifanya nipitwe na mengi huko Mjini
Happy belated birthday Mjukuu, Mungu akusaidie uishi miaka mingi hadi umpite Babu yako hapa Umri 🤪
Asante Babu wa mchongo... Babu kijana anayependa uzee 😂😂😂😂 GrahamsKwenye hizo picha Bantu Lady mwenyewe ndiyo yupi 🏃🏃
Shughuli za kilimo zinanifanya nipitwe na mengi huko Mjini
Happy belated birthday Mjukuu, Mungu akusaidie uishi miaka mingi hadi umpite Babu yako hapa Umri 🤪
Kweli Babu yenu nimekuza, yaani Bantu Lady mwaja juzi tu alikuwa na miaka 13 leo hii ametimiza miaka 15 🤗Ni mmoja wapo babuu!!
Kilimo ni uti wa mgongo bila kilimo sote tutakufa njaa!!
Vyote Anatumia babuu keki ilikua jana kasema Leo siku ya 🍾🍾🍾🍾🍾Kweli Babu yenu nimekuza, yaani Bantu Lady mwaja juzi tu alikuwa na miaka 13 leo hii ametimiza miaka 15 🤗
Muulize kama meno yamemwota nimletee Korosho atafune, kama bado nimletee maziwa ya mbuzi anywe 🤪
Nilivyomisi Wine sasa 🍷Vyote Anatumia babuu keki ilikua jana kasema Leo siku ya 🍾🍾🍾🍾🍾
Haya Do the needful babuu ;
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Babu kama Babu 🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️ Tonnia Babu wa mchongo atuletee korosho. Nitazipitia kwako mamiiKweli Babu yenu nimekuza, yaani Bantu Lady mwaja juzi tu alikuwa na miaka 13 leo hii ametimiza miaka 15 🤗
Muulize kama meno yamemwota nimletee Korosho atafune, kama bado nimletee maziwa ya mbuzi anywe 🤪
Korosho zitakufikia za kutosha, ila uwe jirani na Mkwe wangu maana nazijua zile 🙈🏃🏃🏃😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Babu kama Babu 🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️ Tonnia Babu wa mchongo atuletee korosho. Nitazipitia kwako mamii
Hahahaha..............ngoja nimtumie kwa DHL 🤗Zawadii anapokea mwenye basdei babuu!!