Happy birthday baby STUNTER

Kwa msg hii wale wote ambao hawako kwenye mikono ya wazazi wanaoweza kutoka kuanzia saa 2uck na kuendelea tukutane Ramada. Keki itakatwa kuanzia saa 3uck.
Karibuni wote.

Jamani af fursa kama hizi zinatokeaga nikiwa mkoani waiiiii..niwekeeni kipande nitakikuta J4 hahahh.
 
hey all who were able to join us yesterday at RAMADA, on behalf of Stunter, i wish to express my sincere thanks to all who made it. It was short but nice.

again thanks all. Daby nahis ullienjoy sana jana. nilikuona tu ulivyokuwa unatabasamu nikagundua lile tego lako liliwasili maeneo japo hukunitonya ni yupi kati ya wale ulokuwa unatabasamu nao.

hope utanijuza leo.
 
Haha...ni kama tulikuwa paradise eeeh. Birthday was not mine, but I felt like it was mine.

Hizo ni confidential. Subiria utambulishoo rasmi
 
Nasubiria shem. Tukikutana pale mahali uniambie bhana sitaweza kaa nacho muda mrefu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom