Happy Birthday Baba_Enock

Happy Birthday Baba_Enock

Obuntu

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2008
Posts
510
Reaction score
35
Hongera kwa siku yako ya Kuzaliwa

Mungu akulinde, akuagazie, utokapo na uingiapo...
 
Happy Birthday Baba_Enock

na ukumbuke every birthday inatupa nafasi ya kujisikia umezaliwa upya ili

kufuta yanayo kusumbua na kufurahia

maisha with your loved ones..:A S-rose:


 
mwaaaa mwaaaaaaaa mwaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!
congrats bradaaaaa...!!!!!!

wish u ol da best...
nakuombea uwe;


1.baba mwema mwenye kujua na kutambua majukumu yake

2.mume mwema

3.kichwa cha nyumba chenye hekima na busara

4.uwe mwongozo bora na mfano mwema kazin/shulen/kwa jamii inayokuzunguka

5.rafiki mwema na wakutegemewa kwa kila anayefikiri wewe ni rafik kwake

naenda kupasha kiporo now cha wali harage la naz....km vip njooo...😛ound:😛ound:!
 
Hongera kiongozi kwa siku yako ya kuzaliwa!! Sasa leo wapi? King Star? Zero Pub au Fair way? Namwambia Eliza aweke za baridi kabsaa!!
 
Hongera kwa siku ya kuzaliwa
Mungu akujalie umri kama Ibrahim
 
Katika watu ninaowathamini sana hapa ndani mmojawapo ni Baba Enock.
Ni furaha kwamba ulizaliwa siku kama ya leo..
Furahia siku yako baba yetu!
 
Hongera kiongozi kwa siku yako ya kuzaliwa!! Sasa leo wapi? King Star? Zero Pub au Fair way? Namwambia Eliza aweke za baridi kabsaa!!


mhh wenawe unapenda ugimbi km nin..njoo apnde ya paradise I WL B ELIZA N U WL B RR....!
 
Happy Birthday!Mungu akujalie miaka yenye baraka tele.
 
Happy birthday Baba Enock...I wish you a long life..so long that ifike mahali the cost of your candles izidi the cost of the cake...!!!!
Mungu na akubariki...
 
Umezaliwa upya Baba. Uwe na furaha tele.
 
Heri ya sikukuu ya kuzaliwa BE

Mungu akumiminie baraka pia akujalie afya njema, upendo na amani katika mwaka huu mpya unaouanza.

Good day :A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose:.
 
Happy Birthday BE
nakutakia kila lakheri
kwa miaka yako 80 iliyobakia..
aliye juu akulinde na kukuongezea
mema na baraka zake . AMEN...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom