Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,729
Akikuacha nitamchukua mimi apa!Hivi Sky Eclat akiniacha (kitu ambacho hakiwezi kutokea) wewe utafaidi nini??



Akikuacha nitamchukua mimi apa!Hivi Sky Eclat akiniacha (kitu ambacho hakiwezi kutokea) wewe utafaidi nini??



Utakufa mdomo wazi 😏😏😏
Utasubiri sana wallahUtakufa mdomo wazi 😏😏😏
Asante babu. Sindio ulinichagulia mjukuu wako kuwa anaendana na mimi kijana wako. Basi kwa kuwa uzee unakuja na heshima na busara tukaona tusikupinge mzee wetu.Sala hii na iwe na kwako pia....
Kwahiyo mjukuu wangu ledada kashakuwa pumziko lako???
Usisahau kunizawadia K Vant
Hahahha haya magahawa yanaleta presha. Acha ujanja wa kukwepa kumnunulia babu K VantAsante babu. Sindio ulinichagulia mjukuu wako kuwa anaendana na mimi kijana wako. Basi kwa kuwa uzee unakuja na heshima na busara tukaona tusikupinge mzee wetu.
Hiyo K Vant tutaileta mimi na yeye babu wala usiwe na wasiwasi, ila inabidi uache maukali babu uanze kunywa gahawa kama wazee wenzio.
Ngoja nikakague. Ole wako nasema.... Ole wako!Hahahahh
Tayari
Hahaha uzuri babu unajua mimi sio kanjanjaHahahha haya magahawa yanaleta presha. Acha ujanja wa kukwepa kumnunulia babu K Vant
Utapata laana, na ntakunyang'anya mjukuu
Mhhh... Bibi yako Sky Eclat ameanza lini kunitengenezea keki ya aina hiyo? Hebu ibadili kabla sijagongesha kikojoleo ardhini... utapata laana ujue...



hivi babu we mzima kweli? Mbona hujanitambulisha wifiAsante babu. Sindio ulinichagulia mjukuu wako kuwa anaendana na mimi kijana wako. Basi kwa kuwa uzee unakuja na heshima na busara tukaona tusikupinge mzee wetu.
Hiyo K Vant tutaileta mimi na yeye babu wala usiwe na wasiwasi, ila inabidi uache maukali babu uanze kunywa gahawa kama wazee wenzio.
Mimi sio mjaluo. Nimetahiriwa.
Timiza wajibu wako. K vant kesho mchana... Bunju DaslamHahaha uzuri babu unajua mimi sio kanjanja
Si taratibu dada protokali inazingatiwa bana. Utamjua tu


Hako Ka Avatar kanakudanganya wallah