Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Hallelujah
Hallelujah
Huyu babu sio mtu mzuri, katuweka hapa watu wanne wote tunamuita babu!
Hahaha yaaani
Hahaha hahaha hahaha hahaha



bila shaka babu alishamjulisha

Hahaha yaaani
Na yeye akuje azooommmm










Hahaha hahaha hahaha hahaha
acha nianze kuwa na nidhamu sasa chief...wait wait, nidhamu ya nini hasa!!!?Kiongozi nakushukuru sana. Hizi chumvi hata wewe ukiwa na nidhamu utazibugia za kutosha
Mimi sio babu yako. Mi ni mchepuko wako... si tulishaweka hii deal mapema sana?Huyu babu sio mtu mzuri, katuweka hapa watu wanne wote tunamuita babu!
Una bahati sijaamua tu kukaumiza hako karoho kakoHahaha hahaha hahaha
Roho ikiniuma natoa fungu la kumi mshahara wangu woote
Ewaaaaa.... na roho ikimuuma... unachukua nafasi yake mpaka itakapoacha kumuuma
Hommie, kikombe alichonipa baba sitakinywa??
Anaanzaje na huna ndoa naye@Kaizer hebu ukuje unisomee hapa mimi