Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,320
- 17,822
Ooooh
Unaachika sana tuu...
Hatari lakini salama
Hatari lakini salama
Na wewe unataka unilishe kitimoto Kaizer?!Ngoja twende zetu Pale Mamsera tuzungumze vzuri huyu mchepuko Asprin sio mtu mzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana. Mimi ni mtu mwema butakulisha maziwa na asali uzidi kupendeza,,Na wewe unataka unilishe kitimoto Kaizer?!
EwaaaaaHapana. Mimi ni mtu mwema butakulisha maziwa na asali uzidi kupendeza,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan nakubeba kabisa mgongoni, hutajutaEwaaaaa
Fanya hima njoo nichukueee
Mimba utaikubali hommie ?
Na walishazikwa. Unataka ushahidi?Hata wahenga walioacha misemo yao walishakufa
Mimba ni ya mwenye nayo, wewe inakuhusu nini hommie?Mimba utaikubali hommie ?