Happy birthday Arabela!!

Happy birthday Arabela!!

eti kwa nani nyonyonyonyo.......... Weee subiri uone nikitoka kwake naenda kwa yule mmasai wako, sema na yeye anaweka kauzibe kwa kuniita dada.....

TEH TEH TEEEEH. lOL. OLESAIDIMU kumbe na wewe kauzibe kama miss fulani. Kazana hivyo hivyo wasikuibe.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Kuna mkakati wa mama Lady doctor, miss neddy na Kaizer kututenganisha.

Kila mtu hapo ana nia yake. Lady analinda ndoa yake, miss neddy anakutaka na Kaizer anataka kuleta ubazazi wake kwangu. Amefikia kuukana ubazazi.

eti nini? miss neddy anamfanyaje paroko? Jamani huyu mtoto anaingia kichaka cha mama ake si aibu hiiii
 
Last edited by a moderator:
happy birthday dada yangu, ujue nilitaka tuunganishe sherehe harusi & birthday party.
nakumbuka ulisema zitenganishwe ili tujipe nafasi ya kufurahia zaidi, leo kama kawaida nyumbani h kwa party.
cc: dada KOKUTONA
Mwanyasi kwani harusi lini vileeeee? Arabela happy birthday kwa mara nyingine tena, naamini kulee tulikokufanyia ji party uli enjoy
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Arabela,

Ni mwaka nyingine
Siku nyingine
Saa nyingine

Kwamba uliletwa hapa duniani siku kama hii ya leo kutupa yoote ambayo umetupa..upendo wako hapa kila mwana CC mwandamizi anaujua....

lakini pia familia yako inayo sababu ya kuserebuka pamoja nasi tunapomshukuru Muumba kwa kukuoa tena zawadi ya pumzi ya uhai

Basi kwa niaba ya wake zangu AshaDii gfsonwin na DEMBA...lakini pia kwa niaba ya wana CC wandamizi kina Mtambuzi Asprin Mwanyasi Fidel80 Excel Heaven on Earth OLESAIDIMU nitonye Preta amu Zinduna mtu chake Arushaone Lady doctor na wengineo

Bila kuwasahau wana CC chipukizi kama ladyfurahia mshana jr OPERA MINI lara 1 na wengine na #teambazazi wote:thumbup:😛

TUNAKUTAKIA SIKU NJEMA YA KUZALIWA UWE NA MAISHA MAREFU NA YENYE BARAKA ZA MWENYEZI MUNGU.:thumbup:
Uishi maisha marefu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom