Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,338
- 17,875
- Thread starter
- #21
Wallah laadhim lazma tugongeshe glasi kwa sana..hebu mchek Karucee untoroshe aje...mimi amu nammudu hao wapiga gambe maarufu afu King'asti atawaongoza wale wa cha arusha na malawi. ladyfurahia atawaongoza wageni wengine wote...huyu kabanga tunpange getini asaidiane na Polisi? Kuna kina Mr Rocky wameapa kuzamia na hawajaalikwa😱
Last edited by a moderator: