Happy birthday Arabela!!

Happy birthday Arabela!!

analijua.... Mie mpaka leo bado namfuatilia japo hilo bepari limekimbia kabisa hata humu alionekani baada ya mie kumfungulia mashtaka

mhhhhhhhh huyo mtoto ameshakuwa mkubwa hata ukimpata ule upendo wa asili juu yetu hautakuwepo bora umuache huko huko kwa bepari
 
Napenda kutoa shukrani zangu kwenu kwa wishes zenu Mungu awabarika imenifanya nijihisi special kwa kweli...natambua uwepo wa kila mmoja wenu...nawapenda sanaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Kweli mwanangu hawa mabazazi niko nao makiini nitahakikisha nawasarambatisha wote wasiguse kabisa bora sisi mama zako tumeshakula chumvi nyingi kwanini wanataka kukuza bure na ungali bado kinda?
ndo nakupenda wanataka wanikomaze kabla ya muda hao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom