Haya nenda salamaDua la bata halizuii kuku kupatwa na mwewe
Thanks my diaHbd mamy,Mungu akupe haja ya moyo wako
Nimeona ndugu ila naimani mtoto bado nalipa nikishusha kitu sasa hivi napata mpya halafu ataanza nililiaokay.....@honey faith umeonaa?
HahahahahaHivi ulikuwa wapi siku zote jamani!! Ukanidhulumu raha hizi!
Hata hivyo nilikuwa nimeishamchoka bora umenisaidia kuutua huo mzigoKumbe ndio unamchoshaga hadi analazwa! Hebu muache aje ale raha bwana we, mapenzi sio ugomvi.
Hahahaaaaaa!! Ndio ile ya ganda la muwa la jana......Hahahahaha
Hata hivyo nilikuwa nimeishamchoka bora umenisaidia kuutua huo mzigo
sina wasiwasi nae najua soon tu atarudi mwenyeweHahahaaaaaa!! Ndio ile ya ganda la muwa la jana......
Atakupromise tu hapa ili usijisikie vibaya ila ukweli soon tu utaachwa...lolRogie promise me you wont go back there darling, utanifanya nichizike.
Hahahahah haya bwana wish you all the bestUkiendelea kumzingua baby wangu utakula tofali sasa hivi.
Haya sawaMimi ndio nilikuchoka kitambo mnoo aise.
Basi ngoja nitafute spare tyre kabisaaaa.Atakupromise tu hapa ili usijisikie vibaya ila ukweli soon tu utaachwa...lol
spare tyre ya nini wakati wewe ndio spare tyre labda anza kutafuta wako originaleeee!!!!.....lolBasi ngoja nitafute spare tyre kabisaaaa.
Honey Faith get over it darling, its over[emoji12] [emoji12] [emoji12]Mimi ndio nilikuchoka kitambo mnoo aise.