Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,841
ya wapi?Kwani nyie siku ile mliondoka taratibu?
Jibu swali, mlikwenda wapi?Hivi Leo umekula maharage
ya wapi?
Kabisaaa!! Kukaa kujishindilia na maumivu ni utoto aisee, lets move onAcha tule ujana aise, hebu nipe coordinates nije tuongee kwa herufi kubwa.
Tuwape dedication ule wimbo unaitwa "Mwache Aende"
Usisikilize maneno ya walimwengu hubby wangu wanataka kutugombanisha tu.....Oh kwahiyo aliondoka na Kaizer na haijulikani walienda wapi? Hapa sina mtu.
So hunitaki tena?umeniacha?I am officially single.
Haya bwana mie yangu macho....Jibu swali, mlikwenda wapi?
[emoji100] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Haya bwana mie yangu macho....
Siamini kama ni wewe unanifanyia hivi haya bwana mie ngoja nikae pembeni.....Acha tule ujana aise, hebu nipe coordinates nije tuongee kwa herufi kubwa.
Tuwape dedication ule wimbo unaitwa "Mwache Aende"
Am comming dear[emoji8]Nimeshafika nakusubiri dear [emoji173]️[emoji39]