I am exactly three decade old!!hahahaaa......karibuni tu'blow candles!!!!:majani7:
shemeji yangu majany hongera sana mkuu, ulizaliwa mwisho wa mwezi mzee akiwa kazikamata yani daaa... hongera!
Kama keki ni simba kapakatwa ntakuja kuporomosha mvua ya maombi iambatanayo na radi kwa ajili ya keki yako