Napenda kujitakia siku njema ya kuzaliwa, nawashukuru wazazi wangu kupendana na kunizaa mtoto bomba kama mimi,
namshukuru mwenyezi mungu kwa kunipa pumzi mpaka sasa, nashukuru family yangu kwa support, now, another year older,
and more wiser, and as well im living my dream
Usione anafanya maksudi mazima kukujibu ! Tatizo hili swali sijui kwa nini mara nyingi hua halipatani na Netwk ukimuuliza tu mtu Jf minara hasa ule mkongo wa Taifa system ina - go dauni !