Mmmmh! Wewe c6 wewe! huyu si ni shemeji yako?!! Sasa nini hicho kimoja tu ambacho asikunyime....?? Haya mie simo huko, nakutakia tu many happy returns of your birthday!
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums

Kwa kuwa wewe unakunywa kilevi kisichopimwa, basi unaona kila mtu anakitumia hiko.
ushajua kipi icho kimoja?
Afu wewe demu tangu nilipokataa kukutumia hela kwa Mpesa umekuwa mkali kama nini, we vipi wewe..!!?? BTW Nimekumiss...
Mmmmmmmhhhh kutoka kumoyo charminglady?
My hezbendi @C6
Happy Birthday Shemeji yangu wa Ukwenhe C6.
Ila hujatuweka wazi mzazi ili kama vp tuwe tunaanza na shkamoo au mambo.
BTW Happy Birthday Mtalaka wa charminglady.
Akili imekurudi!??? HBD C6
Hahaaaaa.... " Jeuri huna, utabaki kuguna" Hebu muulize jana allikuwa wapi kujibu hizi wishes kama hajakuwa na mimi.....
C6 my hezbend hebu kuya pande hizi tukamalizia vya jana lols!!!!!!
aione charminglady........hepi besdei siisix!
Happy birthday c6
Mmmmmmmhhhh kutoka kumoyo charminglady?