Happpy Birthday...

Ujue 1% ya mashahara kwa mwaka ni sh. ngapi? Its a lot kumpa mtu bure. Bora nkanunue mbuzi nfanye BBQ na wanangu

Sijawahi kuwa mwanachama aisee, ndo maana nakucheka.

Swala ni kuwa as long as nawachangia hata kidogo kiasi gani, i should be ONE OF THEM! Waniteteeee kijalali, sasa 1% wamekula afu kwenye hearing wananiletea nyokolosti zao!
 
Mhurumie Lara, atakuwa anatumia tachi.skrin.

Asante, nitazifikisha salamu kwa mhusika.

Lara moja unaharaka gani bi dada hebu rejea andiko lako!
Anyway Kongosho kama leo ni besidei yako basi hepi besidei hukuhuko zikufikie.
 
Ujue 1% ya mashahara kwa mwaka ni sh. ngapi? Its a lot kumpa mtu bure. Bora nkanunue mbuzi nfanye BBQ na wanangu

Sijawahi kuwa mwanachama aisee, ndo maana nakucheka.
Kongosho shikamoooo..!

Habari za mei mosi?
 
Last edited by a moderator:
Aisee, umeongelea JUWATA hadi nimeshtuka, zamani sana hii. Mwenyekiti aliluwa.Mzee nanisijui.

Kwani umeanza kazi wakati history.was happening?

Mi nilishawahi kukataa kujiunga na juwata gani sijui. Yaani nikiangalia hela ya kukata ndefu, nikawaambia nikiwa na issue nitajibeba. Hawakuamini wale wazee lol.

mambo ya kuteteana unafki mtupu. Nikilianzisha nalimaliza mwenyewe
 
Ulitokelezea na kitenge chako, nilikuwa nakucheki tu.

Nna hasira, sijapata zawadi ya mfanyakazi bora.

Sivaagi zile tshirt aisee. Enzi natumikia mwajiri sikuwahi kuandamana na mshua ndo anavaa tshirt akienda kupiga michapo na wazee wenzie. Yaani sikuwahi hata kufuata posho!
 
Nilimkimbia, alianza kuagiza mzigo kutoka Jamaica, nikasema ya nini niwe rastarare na huku napenda nyama

Hivi King'ast bado anakupa ile makitu.....lol!!!!
 
Last edited by a moderator:
Kuna raia leo walipiga kambi kwenye yale malori ya Konyagi na TBL...jamaa walikuwa wanarusha viroba na ule ulabu wa kwenye kopo za bati wakichagizwa na vilimbwende fulani vilivyokuwa vimeshona mavazi ya kanga maridadi...
 
Sipati picha, pombe inavyopendwa vile, kuna walipjeruhowa.

Acha kulia lia kusanya watu watano tu bass

Mbona sheria iko wazi? Kujiunga na chama cha wafanyazi ni hiari....Kwa hiyo kama mtu hataki basi anwaandikia barua na kuanzia siku hiyo wanakoma kukata mshahara wake. Ila ikitokea kitu kinaitwa collective bargaining hapo lazima hata mtu ambaye siyo mwanachama achangie!

Binafsi sitaki kusikia haya mambo na niko mbioni kuwapiga stop RAAWU kuchukua pesa zangu!
 
Aisee, umeongelea JUWATA hadi nimeshtuka, zamani sana hii. Mwenyekiti aliluwa.Mzee nanisijui.

Kwani umeanza kazi wakati history.was happening?

Hao walikuwa akina Bruno Mpangala (RIP) na mwenzake.
 
Heheheee.... Jaman mie nimekosa kitenge na tshirt eti vimeisha... ! Mei Mosi Oyeeeeee....!!
 
Sipati picha, pombe inavyopendwa vile, kuna walipjeruhowa.

Hahahaha hata haikuwa vurugu kivile yaani ilikuwa ni sogea kwenye lori, omba bia au kiroba na pewa bia au kiroba kutii kiu yako...

Btw si unajua raia wengi walienda kuweka saini na kubeba posho...

Kuna wengine hata ile miamvuli hawajaifungua kabisa
 
Leo ndo nimegundua kumbe akina hakatwi mtu mshahara na vyama vya wafanyakazi tuko wengi!
 
Basi sherehe imefana.

Watu wengi ndio mtindo wao, posho na kuondoka.

Nilienda kusikiliza kama watapunguza kodi ya PAYE ...but sincerely am done na haya makitu ya RAAWU
..thanks nimepata kijiposho Cha kuwekea heshima baa
 
Babu, hebu nitakie salamu zangu za kuzaliwa? Za kwako zina maana sana ili zifike kwa mlengwa.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…