BlackBerry
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 1,839
- 959
<b> ndo hivi unatuona hapa mwaya</b>
Nafurahi nikisikia marafiki wana furaha sana, nipo sana tu, naona htukutani humublackberry kwema pande hzo? Umepoteasana mkuu! thanx kwa ushauri mzuri wenye maneno matamu, kwa kweli kama binadamu twaitaji furaha, binafsi nafuraha na nafurahia maisha, kwa upande wangu yapo sawa!
Thats all matter Mr Rocky, wewe uko happy na yeye yuko happy maisha yanaendeleaWou i like that BB
Penda unapopendwa usipopendwa achana napo
I do that and i love someone who love me to and return my love i gave her and am happy and she is happy too
Ni kweli kabisa kisukari, ila jaribu na kujaribu hakuna kukata tamaa mpenzi, ukishindwa huna budi ila ndio hivo tena unakuwa unapitwa na mengikuna upande mwengine,ku type maneno ni rahisi kuliko vitendo,unaweza ukasema hivi,yakikukuta yale yote uliyoyasema huyatimizi.
kuna upande mwengine,ku type maneno ni rahisi kuliko vitendo,unaweza ukasema hivi,yakikukuta yale yote uliyoyasema huyatimizi.
Nice Quote TFTo the world you may be one person, but to one person you may be the world
Usipotee sana lakiniNice Quote TF
hiyo bold nayo ni tosha kukufanya uwe happy, asha furaha ni kwa kila rika haijalisji umekua, umezeeka, una family au vipi, just find something that can makes you happy mydiaKutaka niwe na furaha wakati woote ni kitu napenda mno.... But i have grown up and realised haiwezekani for tumekua watu wazima with lots of responsibilities.... Ukiwa ni Mke... ama mama.. daughter or sister... (karibu na wale unao wapenda) nakuta na nimetambua furaha yangu peke yangu haitoshelezi... Hivo hujitahidi saana kujenga mazingira ya amani kwangu na my loved ones.... hizo efforts saa ingine hufanya kazi, saa ingine u-bounce but uzuri ni kua unakuta kuna moments (tena nyingi) MUNGU hujalia all my loved ones namimi pia kua na furaha... basi hapo i live the Moment... na kufurahi to the MAXIMUM....
Nipo bwana majukumu tu yananizidia wakati mwingineUsipotee sana lakini