The hammer
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,383
- 1,761
SawaHuna Adabu wewe swali gani ilo?
SawaHuna Adabu wewe swali gani ilo?
Wanafanya nini si muwauweKusema kweli siwezi kupiga picha nyoka ni wengi
Mimi naona bora uanzishwe uzi wa TULIOOPOTEZA WAPENDWA WETU KWA UGONJWA WA CORONA TUPEANE UPDATES...
Nashauri lakini kama hautakuwa na madhara kwa jf lakini
Tutajuaje kama anasema ukweli?.....
Ningekuwa dar nimgekuazima huawei p40 yangu uchukue picha kwa mbaliii,utushirikishe kinachojiri.
R.I.P ndugu zetu
Nenda Kondo utapata uhakika bwashee!Tutajuaje kama anasema ukweli?.....
Kuweni wastaarabu kaleta taarifa kama hii.kutaka picha kwa taarifa yake tu mazingira hatari na polisi hawakosekani pale
Picha umeziacha ufipa?
Sawa mkuu.....Nenda Kondo utapata uhakika bwashee!
Ahsante ya nini?Dah asante mkuu
Nashukuru mkuu...Nye ndo wale wanaopiga picha za marehemu kwa kuibia kwenye misiba halafu mnapeleka fb.
Nenda sehemu ya tukio piga picha uweke sebuleni kwako kwa ukumbusho
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Nilikua maeneo hayo mkuuAhsante ya nini?