Happening now at Kondo Bahari Beach: Marehemu wa watu tofauti kama 10 wanakuja kuzikwa hapa Kondo

Corona inaua tena kwa speed ya hajabu na mateso makali sana sema kinachostaajabisha kuna watu wanapima wanakuta wana corona ila hawakohoi wala kupiga chafya hawana dalilizozote hivo changamoto inaanzia hapo ndo maana watakao faulu hili zoez ni wale wanao pima kwa wingi ila kama tz yangu hakika weak wataondoka na watakao baki ni strong mungu ibariki Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi nye watu wa kutaka picha mbona mnakuwa wehu kiasi hicho?mazingira kama hayo pamoja na askari anapigaje picha mbona mnakuwa na akili za kuku
Bila picha au video tutakuanije.

Sent using Jamii Forums mobile app
Weka picha kama sio UMBEYA unaokutesa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ningekuwa dar nimgekuazima huawei p40 yangu uchukue picha kwa mbaliii,utushirikishe kinachojiri.
R.I.P ndugu zetu

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Nye ndo wale wanaopiga picha za marehemu kwa kuibia kwenye misiba halafu mnapeleka fb.

Nenda sehemu ya tukio piga picha uweke sebuleni kwako kwa ukumbusho

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Nashukuru mkuu...
 
Back
Top Bottom