Mimi nikiwa mojawapo ya mfiwa tumetokea hospital ya Amana tumeambiwa mwili wetu utakuja makaburi ya kondo bahari.beach tutangulie maaana marehemu wetu atazikwa na surikali.
Sasa tumefika kondo tumekuta familia tofauti.tofauti zinasubiri marehemu wao, hizi hawa ndugu wana majeneza yakuweka ndugu zao.
Aisee, huu ugojwa unaua tujikinge na tuzidi kuomba.
NB: kama unapita mitaa yaya kondo bahari beach jikinge vaa mask.
Update..
Update...

Ni kweli usemacho na mvua inanyesha mbaya, mi nimeona gari mbili nyeupe sijui ndio zinaitwa box board zinaingia hapo na pembeni kuna magari mengine mingi na video ninayo.
Update...
Unabisha Nini Sasa ilihali haupo mitaa iliyotajwa? Limepita Lori la city council na kijiko Cha kuchimbia kuelekea kondo mchana huu wa mvua kubwa! Acha kutafuta sifa za kijinga wakati watu wanaongelea facts! Cha msingi jikinge uwakinge na wengine!
nathibitisha kuona magari
[/QUOTE
Case closed ....tujilinde sisi na familia zetu ili dude linauwa