Happening now at Kondo Bahari Beach: Marehemu wa watu tofauti kama 10 wanakuja kuzikwa hapa Kondo

Mkuu mimi.sitafuti umaarufu wala siitaji

Kama unabisha njoo makaburi ya.kondo ukiwa unatokea chini mitaa ya kanisa katoriki la st. Andrew, njoo moja kwa moja mpka mwisho wa makaburi kwa juu utaona mwenyewe
Kwahiyo hao ndugu wa familia 10 wamebandikwa label hadi ukaweza kutofautisha ni ndugu 10 na sio ndugu wa marehemu moja, mkiwekwa kizuizini kwa kuzua taharuki mtamlaumu nani?
 
Mungu atupitishe salama! Pole sana mkuu.
Kama huna safari ya lazima jifungie tu ndani kwa kipindi hiki.
 
Kwahiyo hao ndugu wa familia 10 wamebandikwa label hadi ukaweza kutofautisha ni ndugu 10 na sio ndugu wa marehemu moja, mkiwekwa kizuizini kwa kuzua taharuki mtamlaumu nani?
Nyie ndo mashushu wenyewe.
Nashauri mtoa mada kama upo eneo husika.
Kabda hamjazuiliwa na Ku serchiwa cm na nani alietoa bandiko jf.
Log out jf na ufute app ya jf kwa mda .mpaka ukitoka eneo husika.
Wanga watakuwa wapo hapo.na wana mpango huo hapo juu.
 
Back
Top Bottom