Straight corner
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 385
- 132
Kilimo/Penzi. Una uhakika unapendwa? Ni vigumu kuzuia upendo lakini ukimpenda asiyekupenda na ukalazimisha kuwa naye na uwe tayari kuumizwa.kilimo gani tena Straight corner

Habari zenu wana MMU
Iko hivi hapo mwanzo mimi na mpenzi wangu tulikua tukichart na kupigiana simu vizuri tu lakini siku za hivi karibuni nimekuwa nikimpigia simu lakini hapokei sim yangu na ninapomtumia sms hajibu lakini cha kushangaza kila anapotaka kulala usiku ananitumia sms inasema "Ilove u so much hney & have a good 9t and nice dreams"
Nifanyeje ili nitatue tatizo hili wapendwa., na mimi bado nampenda sana
Kuna possibilty kuwa ameloose interest na wewe, au kapata mupenzi mwingine ila sometimes anakukumbuka; esp usiku. Mwambie mkutane muyamalize, kila mtu ashike hamsini zake
Al-shabaab haya ingozana na huyu mzeeipo hebu asogee huku tumsaidie aisee
Dawa yake usipige simu wala kutuma message tena unatafuta mwingine hili kutoa mawazo yake kichwani
Kaka hata mm limenitokea mm nina mpenzi wangu tangu tuanze mahusiano yetu sasa yafika miezi miwili mm sikutaka kusex naye bse sikumfahamu vizuri alitaka kulazimisha pambano lakini sikutaka sijui ndio sababu ya kunifungia vioo nampenda lakini sijakufahamu hata kwao na sasa dar imeharibiika pili kama atakubali nataka kumuoa so sitaki kumchezea nifanyeje
Hukuulizwa wewe....acha umbea
Halafu HILO JINA UNAWAAIBISHA WENYE NALO. WAO HUWA HAWALALAMIKI,WANATENDA TU.IMEKUAJE UNACHAGUA JINA AMBALO HUENDANI NALO? HEBU CHANGE HILO AL SHABAAB!!!
Bro kuna uwezekano wakubadilisha jina kumbe??ebu nisaidie nifanyaje ili kubadilisha??Halafu HILO JINA UNAWAAIBISHA WENYE NALO. WAO HUWA HAWALALAMIKI,WANATENDA TU.IMEKUAJE UNACHAGUA JINA AMBALO HUENDANI NALO? HEBU CHANGE HILO AL SHABAAB!!!
Habari zenu wana MMU
Iko hivi hapo mwanzo mimi na mpenzi wangu tulikua tukichart na kupigiana simu vizuri tu lakini siku za hivi karibuni nimekuwa nikimpigia simu lakini hapokei sim yangu na ninapomtumia sms hajibu lakini cha kushangaza kila anapotaka kulala usiku ananitumia sms inasema "Ilove u so much hney & have a good 9t and nice dreams"
Nifanyeje ili nitatue tatizo hili wapendwa., na mimi bado nampenda sana
mtumie helaHabari zenu wana MMU

Ataongeaje ikiwa hapokei cm yakeHimidini tumsaidie tu mdogo wetu....sidhani kama ameongea na "mpenzi" wake kuhusu hilo "tatizo" aongee naye kwanza halafu arudi hapa tumshauri zaidi