Al-shabaab
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,791
- 620
- Thread starter
- #21
Last edited by a moderator:
Eighteen
umepata wa kukusaidia na kumkeep bize mchana...
Atakuwa anakuogopa maana matendo yako yanafanana na ID/USER NAME yako hapa jf.Habari zenu wana MMU iko hivi hapo mwanzo mimi na mpenzi wangu tulikua tukichart na kupigiana simu vizuri tu lakini siku za hivi karibuni nimekuwa nikimpigia simu lakini hapokei sim yangu na ninapomtumia sms hajibu lakini cha kushangaza kila anapotaka kulala usiku ananitumia sms inasema "i love u so much hney & have a good 9t and nice dreams" nifanyeje ili nitatue tatizo hili wapendwa., na mimi bado nampenda sana
najua sana maana ya kupenda ila nimefall in love kwake