Hapokei simu wala kujibu sms zangu

Hapokei simu wala kujibu sms zangu

Kuna possibilty kuwa ameloose interest na wewe, au kapata mupenzi mwingine ila sometimes anakukumbuka; esp usiku. Mwambie mkutane muyamalize, kila mtu ashike hamsini zake
 
Mkuu Al-Shabab tahadhari maana naona kama unaplan kuanzisha a mega project ya kilimo cha mpunga Dodoma.
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu wana MMU

Iko hivi hapo mwanzo mimi na mpenzi wangu tulikua tukichart na kupigiana simu vizuri tu lakini siku za hivi karibuni nimekuwa nikimpigia simu lakini hapokei sim yangu na ninapomtumia sms hajibu lakini cha kushangaza kila anapotaka kulala usiku ananitumia sms inasema "Ilove u so much hney & have a good 9t and nice dreams"

Nifanyeje ili nitatue tatizo hili wapendwa., na mimi bado nampenda sana

Dawa yake usipige simu wala kutuma message tena unatafuta mwingine hili kutoa mawazo yake kichwani
 
Habari zenu wana MMU

Iko hivi hapo mwanzo mimi na mpenzi wangu tulikua tukichart na kupigiana simu vizuri tu lakini siku za hivi karibuni nimekuwa nikimpigia simu lakini hapokei sim yangu na ninapomtumia sms hajibu lakini cha kushangaza kila anapotaka kulala usiku ananitumia sms inasema "Ilove u so much hney & have a good 9t and nice dreams"

Nifanyeje ili nitatue tatizo hili wapendwa., na mimi bado nampenda sana
sasa kama anakutumia text usiku.. hujaelewa tu kwamba yuko busy na wengine mchana? hebu njoo PM nikupe mbinu za kimedali zaidi!
Akikutana na Excel itakua solved
ngoja nimwandalie katiba mpya ya kumrudisha mpenzi wake kwenye mzunguko wa matumizi!
eh! kuna bwana mdogo analia eti hajibiwi sms dadake mpenzi....
nimemuona.... ila kama anajiita al shabibi, itakuwa ni moja ya problemee!
kweli... Excel atamsaidia huyu....!

nimemuona mkuu.. kati kati mwa mwezi kuna shida za hapa na pale kwa wapenzi! nalijua sana hili tatizo!
 
sasa kama anakutumia text usiku.. hujaelewa tu kwamba yuko busy na wengine mchana? hebu njoo PM nikupe mbinu za kimedali zaidi!

ngoja nimwandalie katiba mpya ya kumrudisha mpenzi wake kwenye mzunguko wa matumizi!

nimemuona.... ila kama anajiita al shabibi, itakuwa ni moja ya problemee!

nimemuona mkuu.. kati kati mwa mwezi kuna shida za hapa na pale kwa wapenzi! nalijua sana hili tatizo!

@excel dogo kwanza aache hilo jina....!
 
Anakutengeneza mazingira ya baadae yaani wewe kiporo

Siku akikosa chakula wewe ndio utakaempikia
 
Kaka hata mm limenitokea mm nina mpenzi wangu tangu tuanze mahusiano yetu sasa yafika miezi miwili mm sikutaka kusex naye bse sikumfahamu vizuri alitaka kulazimisha pambano lakini sikutaka sijui ndio sababu ya kunifungia vioo nampenda lakini sijakufahamu hata kwao na sasa dar imeharibiika pili kama atakubali nataka kumuoa so sitaki kumchezea nifanyeje
 
Yaani natamani kumpata wa hivyo, we need each other when we both want each other!!
 
Habari zenu wana MMU

Iko hivi hapo mwanzo mimi na mpenzi wangu tulikua tukichart na kupigiana simu vizuri tu lakini siku za hivi karibuni nimekuwa nikimpigia simu lakini hapokei sim yangu na ninapomtumia sms hajibu lakini cha kushangaza kila anapotaka kulala usiku ananitumia sms inasema "Ilove u so much hney & have a good 9t and nice dreams"

Nifanyeje ili nitatue tatizo hili wapendwa., na mimi bado nampenda sana

Atakuwa kakabwa cmu hiyo, katoe ripoti polisi.
 
Back
Top Bottom