Al-shabaab
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,791
- 620
Habari zenu wana MMU
Iko hivi hapo mwanzo mimi na mpenzi wangu tulikua tukichart na kupigiana simu vizuri tu lakini siku za hivi karibuni nimekuwa nikimpigia simu lakini hapokei sim yangu na ninapomtumia sms hajibu lakini cha kushangaza kila anapotaka kulala usiku ananitumia sms inasema "Ilove u so much hney & have a good 9t and nice dreams"
Nifanyeje ili nitatue tatizo hili wapendwa., na mimi bado nampenda sana