Shiwawa jabry
Member
- Mar 17, 2011
- 20
- 0
Mungu ibariki tanzania wabariki viongozi wetu heshma umoja na amani munguuu warehem wasafiri wote wa mv spice ibariki tanzania- tuwarehemu watoto wa mv spice
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature currently requires accessing the site using the built-in Safari browser.
Hiyo ni remix yakeHapo poa! ila huwa hatuimbi;HESHMA umoja na amani; bali ni ;HEKIMA umoja na amani;.
Hapo kwenye Red unamaanisha na viongozi wa Bandarini Wakiwemo wale walio ruhusu Meli itoe nanga kuanzia Dsm hadi Unguja na Unguja to Nungwi Pemba?Mungu ibariki tanzania wabariki viongozi wetu heshma umoja na amani munguuu warehem wasafiri wote wa mv spice ibariki tanzania- tuwarehemu watoto wa mv spice