Hapo vipi wadau??

hata Preta hapo hachomoi
 
Last edited by a moderator:
uzuri wao ni kwamba hata ukiwahonga zote hizo at the end mtazitumia wote tu kiaiana labda na wewe uwe zoba
 
mie staki nyumbani mama atanichapa....................!
 
uzuri wao ni kwamba hata ukiwahonga zote hizo at the end mtazitumia wote tu kiaiana labda na wewe uwe zoba

yani ukikutana na me hapo hapo naomba hela vocha hata aibu sioni .......... ukiniuliza utafikiria najua shilingi ngapi nitakavyokupa mlolongo wa matatizo..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…