Hapo sasa!!!!!!!!!!!

Hapo sasa!!!!!!!!!!!

saudari

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
2,655
Reaction score
2,783
FERGIE-620_1607986a.jpg
Chezea mdada weye!!!!!!
 
Tihitihitihi....................mmhh si kweli njonjo za komputer tu(au ni kweli??)
 
Mwanangu Saudari unanitag kwenye mitambo siyo!Mbona mimi mzee na hayo madude nshapita? Good job however.
 
hii inaweza kuwa mojawapo kati ya haya,; labda ni jasho tu maana wanawake bwana kunapokua na msuguano wa mapaja, lazima jasho litoke,; au kama alibanwa sana mkojo na wakati anajikaza kupaza saut ukatoka na sprinter muscles zake labda hazina uwezo wa kucontrol, au kama ana tabia ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile maana kwa mujibu wa wataalam kuna wakati majimaji yanarud so kama mtu akikaa au kusimama kwa muda, analowa,.. au inawezekana ni style tu, mbona diamond alionesha makalio bwana?
 
Labda alifuata ile methali 'ng'ombe hazeeki maini'

Haswaa Baba V, hiyo methali nimeizingatia sana tena pindi nimuonapo mzee mwenye hekima zake kama Father of All.
Nilitaka aje atueleze kama kwenye enzi za ujana wake alishawahi kukutana na vitu kama hivi.
 
Hii huenda ikawa fistula

Ni maji maji au haja ndogo?

ni jasho tu hilo!

hii inaweza kuwa mojawapo kati ya haya,; labda ni jasho tu maana wanawake bwana kunapokua na msuguano wa mapaja, lazima jasho litoke,; au kama alibanwa sana mkojo na wakati anajikaza kupaza saut ukatoka na sprinter muscles zake labda hazina uwezo wa kucontrol, au kama ana tabia ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile maana kwa mujibu wa wataalam kuna wakati majimaji yanarud so kama mtu akikaa au kusimama kwa muda, analowa,.. au inawezekana ni style tu, mbona diamond alionesha makalio bwana?

Inaweza ikawa ni nanii, maana maecheza na yule jamaa kwa muda kidogo so iawezekana alihamisha fillings zake kutokana na ukaribu alioupata hivyo kuzidiwa na mautamu???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom