Huna GF wewe au mke....mambo ya color coding au color blocking yanataka ufundi kwenye formal suit kama hii, kwanza hizi rangi hapo juu sijui nyekundu sijui ni fuschia for me haiendi na suit hasa hiyo ya njano too flashy, kama wewe mweusi please avoid labda iwe mustard yellow. Kwanza jua rangi yako na rangi zipi zinaendana nazo usifate mkumbo wa fashion au kwasababu John kavaa, maumbile yenu, rangi zenu kama ni tofauti itawapa muonekano tofauti.
kama ni theme, jaribu kuifanya hiyo rangi isitawale mavazi, I call diluting color, umeona huyo wa mwanzo alivyoivaa, kama wangevaa wote kama huyo wa mwanzo ingekuwa tofauti, ile njano haikuonekana sana. Kwangu mie naona ni bora kuliko wengine.
Kama ni casual wear, rangi nyingi unaweza kuzichanganya zikapendeza, lakini ogopa rangi za kituko, orange, flash pink, flashy yellow, usiache ikawa dominating color. Umenifahamu
CHUAKACHARA ?
Kama wewe ni mwanamuziki au muimba kwaya endelea tu.....you're on right track:glasses-nerdy: