Hapo ndio nashindwa kuwaelewa wanawake

Hapo ndio nashindwa kuwaelewa wanawake

Binti angetumia ya kum delay jamaa, kwani wanaume wangapi bwana walishapigwa kalenda, hela wametoa na mzigo hawajapata!! Hamjawahi kuona hii inawatokea wanaume??
 
Kama huwa anagawa kwa boda boda na madalali,ni dhahiri huyu anachanganya.
Anastahiri adhabu,aachwe kwa muda bila kazi ajifunze kujiongeza.

Tena mkuu anabahati.
Ingekuwa ni mimi,ningemchana live aache um*alaya wa kifala aufanye kwa manufaa.
 
Kama hajamvutia je???

Hao alowapanga mtaani wamemvutia na kumpa tulizo la kimahaba

Halafu unajua hr amrlala na wangapi hapo kwa gia ya kuwa "kijana na hajaoa?"

Mwanamke halalwi kwa kuwa yupo na hr analalwa kwa kuwa amevutiwa na kuamshwa mshawasha wake hivyo Usishangae hr anaachwa halafu msukuma mkokoteni anapewa papuchi
 
hahahaahahaha...dah!nimecheka sana,me nafikiri kosa alilofanya nikumtangaza jamaaa siyo kukataa...
 
labda jamaa aliomba tgo. Unaushauri gani kwenye ilo.

Nani kasema hiyo kitu unaomba siku ya kwanza??Watu wakishazoeana inatelezea kwa bahati mbaya then kutegemea na response unatakiwa kuendelea au kujieleza na kubembeleza!
 
Wakuu huyu binti ni mdogo wangu kabisa tumbo moja

Historia yake tangu sekondari hadi chuo naifaham, ana tatizo uhuni I mean kutotulia, angekua binti msafi Wa tabia wala nisingekuja hapa kusema hili

Mtaani mangi Dukani kapewa, Dalali Wa magari kapewa na wajinga wengine wengi

Sasa what is her logic?

Mkuu watakaokuelewa humu ndani tuko wachache sana, trust me! Wanawake wengi wanaendeshwa kwa hisia ujue, wengi ni waumini wa free p (anajisemeaga lara 1), wanafujwa fujwa tu bila mpango baadae wanakuja kulia lia hapa ooh ananichezea tu! ooh kanipotea muda wangu bure! wakati walio seriou na kuoa alikuwa anawakataa!!
 
Last edited by a moderator:
Nani kasema hiyo kitu unaomba siku ya kwanza??Watu wakishazoeana inatelezea kwa bahati mbaya then kutegemea na response unatakiwa kuendelea au kujieleza na kubembeleza!

Watu na experience zao..kumbe ndo hiko hivyo
 
Kama hajamvutia je???

Hao alowapanga mtaani wamemvutia na kumpa tulizo la kimahaba

Halafu unajua hr amrlala na wangapi hapo kwa gia ya kuwa "kijana na hajaoa?"

Mwanamke halalwi kwa kuwa yupo na hr analalwa kwa kuwa amevutiwa na kuamshwa mshawasha wake hivyo Usishangae hr anaachwa halafu msukuma mkokoteni anapewa papuchi

Khaa kweli wanawake mnaendeshwa na hisia looo!

Umesoma alisoma haya maneno ya mkorinto "Tena mkuu anabahati.
Ingekuwa ni mimi,ningemchana live aache um*alaya wa kifala aufanye kwa manufaa."
 
Last edited by a moderator:
Afadhali wewe huyo ni dada yako. Mtu alimpeleka binti yake kwa rafiki yake. Kazi kapata lakini akaishia kuwa mkwe!
 
Kosa ni lahuyo sista yako. Mwanamke kutongozwa si kitu cha ajabu, after all huyo HR ni unmarried na hivyo anahaki kama kijana kutongoza. Alichokosea huyo dada ni kumtangaza jamaa...hata ningekuwa mimi HR napiga chini ajifunze kufunga mdomo wake.... Kutongozwa sio dhambi bana..hasa unapotongozwa na mtu asiye na mke!!
 
Wakuu huyu binti ni mdogo wangu kabisa tumbo moja

Historia yake tangu sekondari hadi chuo naifaham, ana tatizo uhuni I mean kutotulia, angekua binti msafi Wa tabia wala nisingekuja hapa kusema hili

Mtaani mangi Dukani kapewa, Dalali Wa magari kapewa na wajinga wengine wengi

Sasa what is her logic?
Aisee, unajisikiaje kujua sista anagawa uchi kwa kila aombaye?
 
wise one una ID nzuri lakini kwa hili, haujaitendea haki ID yako.
Huyo HR unajua ameshachezea wanawake wangapi kwa gia ya kuwapa ajira? Mambo ya mapenzi hayalazimishwi.
Tena angekua dada yangu ningeingilia kati hilo sakata kuhakikisha tunakomesha unyanyasaji na ukatili juu ya dada zetu na wanawake kwa ujumla.

Iweje mtu kafanya kazi yake kwa ufanisi na uadilifu kisha akose kazi kisa kakataa kutembea na HR? Huo ni unyanyasaji na ubaguzi!
 
Last edited by a moderator:
Wakuu,

Nina mdogo wangu Wa kike, ambae amefukuzwa kazi kwa kumnyima bosi wake mzigo ni kwamba hiyo kazi nilimtafutia miimi kutokana na kufahamiana na hr manager aa hiyo taasisi na ndie aliemuomba mzigo

Huyo jamaa alimtongoza huyu mdogo wangu na kumuomba wawe wapenzi na kama mambo yakienda vizuri wafunge ndoa maana mshikaji bado hajaoa ni kijana tu.

Kinyume na matarajio binti alimkatalia mshkaji ombi lake na mbaya zaidi akaanza kutangaza kwa mademu wenzie pale kazini jambo ambalo lilimuumiza sana mshkaji

Basi jamaa akamsubiria mwisho Wa probation maana binti alikua hajamaliza hata probation, miezi 6 ilipofika jamaa akapelekewa barua na idara husika kwa ajili ya confirmation.

Hapo ndipo jamaa akamalizia hasira zake Kwa kifupi hakum confirm akasema ame perform below standard.
Ukawa ndio mwisho wake pale, alilia sana akaja kunieleza ishu nzima na kuniomba nimtafutie kazi nyingine

Wakuu, hivi mnamuelewaje huyu mtu? Mtaani alipopanga keshawapa mzigo wajinga kibao tu ambao hawana msaada na maisha yake, halafu kamnyima mtu alieshikilia maisha yake.


Hapo tu huwa ndo nashindwa kuwaelewa wanawake

We jamaaa ungekuwa demu wallah ningekugonga kwa kukupa pipi tu....doh
 
Huyu kaka mtu !!!duuuu!!!dunia hadaa ulimwengu shujaaa..
 
Back
Top Bottom