Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,371
- 14,515
wise one una ID nzuri lakini kwa hili, haujaitendea haki ID yako.
Huyo HR unajua ameshachezea wanawake wangapi kwa gia ya kuwapa ajira? Mambo ya mapenzi hayalazimishwi.
Tena angekua dada yangu ningeingilia kati hilo sakata kuhakikisha tunakomesha unyanyasaji na ukatili juu ya dada zetu na wanawake kwa ujumla.
Iweje mtu kafanya kazi yake kwa ufanisi na uadilifu kisha akose kazi kisa kakataa kutembea na HR? Huo ni unyanyasaji na ubaguzi!
Samaritan,we acha tu,watu humu JF wana ID zenye maana nzuri sana lakini ukicheki Post zao wala haziendani na ID walizonazo,wanaenda viceversa.