Wakuu,
Nina mdogo wangu Wa kike, ambae amefukuzwa kazi kwa kumnyima bosi wake mzigo ni kwamba hiyo kazi nilimtafutia miimi kutokana na kufahamiana na hr manager aa hiyo taasisi na ndie aliemuomba mzigo
Huyo jamaa alimtongoza huyu mdogo wangu na kumuomba wawe wapenzi na kama mambo yakienda vizuri wafunge ndoa maana mshikaji bado hajaoa ni kijana tu.
Kinyume na matarajio binti alimkatalia mshkaji ombi lake na mbaya zaidi akaanza kutangaza kwa mademu wenzie pale kazini jambo ambalo lilimuumiza sana mshkaji
Basi jamaa akamsubiria mwisho Wa probation maana binti alikua hajamaliza hata probation, miezi 6 ilipofika jamaa akapelekewa barua na idara husika kwa ajili ya confirmation.
Hapo ndipo jamaa akamalizia hasira zake Kwa kifupi hakum confirm akasema ame perform below standard.
Ukawa ndio mwisho wake pale, alilia sana akaja kunieleza ishu nzima na kuniomba nimtafutie kazi nyingine
Wakuu, hivi mnamuelewaje huyu mtu? Mtaani alipopanga keshawapa mzigo wajinga kibao tu ambao hawana msaada na maisha yake, halafu kamnyima mtu alieshikilia maisha yake.
Hapo tu huwa ndo nashindwa kuwaelewa wanawake