Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,216
- 3,126
Najua religions ni myths.Lakini si kila kitu lazima ukione kwa macho.
Wewe unajua kwamba Nyerere alipewa nchi na Waingereza uwanja wa taifa December 1961?
What about Mkwawa?
By the way usiamini sana picha za Facebook na Twitter, kuna Photoshop. Kwa hiyo argument yako ina boil down kwamba hata picha haziaminiki, amini unachoona tu, lakini hata unachoonakuna tricks na mirages, kwa hiyo hakuna unachoweza kuamini.
Come to think of it, ukija na skepticism ya ainahiyo, hakuna sababu ya kuamini your own existence.
Unaweza kusema wewe mwenyewe hu exist, ni program fulani tu, au ndoto anayoota being fulani inayo simulate maisha yako, lakini actually you do not exist at all.
How about that?
Ukisikia BS ndio hiyo na ukianza kufikiria hivyo ndio mwanzo wa kudata huo. Hallucinations
I kinda like the myths ktk scenarios kaa hizi, kwa sababu they give simplest of the answer for everyone to understand, for very complex things, ambazo spectacular science has failed in totality..he he he..
Ngoja niongee na mamsapu kwanza kukaanga sumu baadae..
Of course,
That is my whole point. Na hii habari ya kusema siamini kitu chochote mpaka nikione kwa macho yangu is only one step removed from this BS.
Ikiwa hii emptiness katika kukosa evidence culminates itself into religion, so what would be the point of the 3, 4, 5, 7 and sometimes 12 common virtues considered as building blocks of religion?! Iwapo kuwa watafiti na wadadisi kwa mambo yanayotuzingira ni jambo hasi.
Okay, fair enough.
I'll try this approach:
Pundit, pls watch this one, thanx.
[media]http://www.youtube.com/watch?v=Q0HKViNSKD0[/media]
Aahuh, vizuri kuwa unajua hapo mwanzo palikuwa na mwisho. Sasa je Pundit, waweza kutueleza huo mwisho ulitokana na nini?...
Mfano, mwanzo huu ungelikuwa kama vile mishale ya saa yenye mishale miwili tu, kwa kwenda clockwise waweza semakuwa, mwanzo wa yote mishale yote ilikuwa imesimama kwenye 12, kisha ilikuwa dakika moja, kisha zikawa mbili, tatu na kadhalika, hadi pale ambapo mishale yote miwili ilizunguka na kukutana pale pale kwenye 12..
Vivyo hivyo, ukichukulia kwenda anticlockwise, waweza kuelezea jinsi dakika zilivyopita hadi kuufikia mwanzo, yaani penye alama hiyo ya 12.
Sasa je, ki mfumo wa ulimwengu kama jinsi vile nilivyo ashiria kwenye swali langu, waweza kuelezea huo mwisho either in a clockwise or anticlockwise analogical sense...Thanx!
SteveD.