Hapo kitatokea nini?

Bailly5

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
16,425
35,127
1454837457447.jpg
 
Kwa vile ana hasira na ata miss shabaha, jiwe lenyewe zito hana uwezo wa kulivurumusha kwa nguvu.
 
Kwani atapiga basi! Hapo atajifikiria wee mwisho ataanza kulia
 
Akavae vizuri kama mweziwe tu. manake kuvaa malapa lazima uwachwe tu hakuna namna nyengine
 
Mikwara tuu hataweza kurusha hayo mawe subiri muvi inoge naye atataka
 
Back
Top Bottom