Hapiness Magese avishwa pete ya $76,000

Nasikitika hamjanielewa!

Sijasema matumizi ya mlango wa KIA, bali unaingilia nyuma kwenda ile sehemu mahususi, hope this is clear no doubt sasa sawa shem?

Ooh ok shem nao nimekuelewa kabisa...shem wangu usiwe na shaka kwa hilo maaana i was about to pray for you....... you shem!
 
Ooh ok shem nao nimekuelewa kabisa...shem wangu usiwe na shaka kwa hilo maaana i was about to pray for you....... you shem!

Unaruhusiwa kuniombea maana naona shetani ananinyatia kwa kasi ya ajabu! na Israel hayuko mbali nami........LOL
 
Unaruhusiwa kuniombea maana naona shetani ananinyatia kwa kasi ya ajabu! na Israel hayuko mabali nami........LOL

Sawa sawa shem ni wito mzuri sana.... will be happy to pray for you shem wangu uwe katika mwenendo unaoeleweka....Hallelujah!!
 
Dada yetu Super Model Hapiness Magesse, amevishwa pete ya thamani kubwa. 3.5 Carrant Diamond with Clearless Clarity abayo imewekwa kwenye Planinum Ring.

Mchumba wake ni kaka mmoja mtoto wa FISADI aitwaye GERALD MGASHA ambaye ni mbeba boxi Canada, wadau hii imekaaje Dola $76,000

Dada huyo alivalishwa Pete siku ya Jumamosi 24/01/2010 pale Bahari beach. Honera Dada yetu

Labda hiyo ndiyo thamani ambayo huyo mchumbake kamwona anayo. je wanaovalisha wachumba zao pete za $5 (zinapatikana kwa machinga) ni wanakuwa wamewashusha thamani? Sijui.

Na akiamua kumegwa na jamaa jingine huku ameivaa hiyo pete ya mamilioni, itakuwa amemfanyaje mvalishaji? Sijui! Lakini ninachojua hawa wanaojiita celebrities huwa hawadumu kwenye ndoa au hata uchumba. Labda ndio maana jamaa kaamua kujikunja na dau kubwa ili angalao demu aone imani, aogope kumsaliti. It might work, u never know!
 
Dada yetu Super Model Hapiness Magesse, amevishwa pete ya thamani kubwa. 3.5 Carrant Diamond with Clearless Clarity abayo imewekwa kwenye Planinum Ring.

Mchumba wake ni kaka mmoja mtoto wa FISADI aitwaye GERALD MGASHA ambaye ni mbeba boxi Canada, wadau hii imekaaje Dola $76,000

Dada huyo alivalishwa Pete siku ya Jumamosi 24/01/2010 pale Bahari beach. Honera Dada yetu
Kuna watoto wengi pale hospitali ya kansa ya Ocean Road ambapo wanalala watano-watano ktk kitanda kimoja pamoja na wazazi/walezi wao wakisubiri TIBA.
Nadhani dada yangu MAGESE ambaye ni mhudumu wa jamii kupitia taasisi mbali mbali angemshauri jamaa yake kwamba ingenunuliwa pete nzuri ya gharama nafuu ili wasave some funds kuwasaidia baadhi ya watoto walio ktk mazingira hatarishi ambao wazazi wao ni fukara.......

I am trying to think out of the BOX
 
Masa alinitisha nikahisi na Balatanda ndo wale wale nikaona nisepe kimya kimya!!!

wasukuma w asiku hizi wamejifunza ukurya naskia???? nawaogopa mie

Hapana jamani,mimi sina hiyo tabia...TiGo ni kharamu kwetu wasukuma...Sisi ni Zantel tu ndo twaitumia
 
Kuna watoto wengi pale hospitali ya kansa ya Ocean Road ambapo wanalala watano-watano ktk kitanda kimoja pamoja na wazazi/walezi wao wakisubiri TIBA.
Nadhani dada yangu MAGESE ambaye ni mhudumu wa jamii kupitia taasisi mbali mbali angemshauri jamaa yake kwamba ingenunuliwa pete nzuri ya gharama nafuu ili wasave some funds kuwasaidia baadhi ya watoto walio ktk mazingira hatarishi ambao wazazi wao ni fukara.......

I am trying to think out of the BOX

Msanii hapo unakosea kumlaumu Magese yeye hiy engagement rign ameshtukizwa atamwambiaje jamaa wa-save funds kusaidia watoto?...besides you never know labda wanasaidia watoto walio na matatizo....Mimi binafsi i think hiyo ni hela yao na wana haki ya kufanya kile wanachotaka na hatuwezi kuwapangiliya......
 
.........Kuvaa vitu vya bei ya juu haina maana hutoi misaada kwa watu wasiojiweza.
Unaweza kuvaa jewelry za bei ya juu au nguo za bei ya juu na still unasaidia watu.
Hivyo vitu vimetengenezwa ili watu tununue, hivyo kama pesa inakuruhusu sio mbaya kununua vitu vya thamani.
 
Dada yetu Super Model Hapiness Magesse, amevishwa pete ya thamani kubwa. 3.5 Carrant Diamond with Clearless Clarity abayo imewekwa kwenye Planinum Ring.

Mchumba wake ni kaka mmoja mtoto wa FISADI aitwaye GERALD MGASHA ambaye ni mbeba boxi Canada, wadau hii imekaaje Dola $76,000

Dada huyo alivalishwa Pete siku ya Jumamosi 24/01/2010 pale Bahari beach. Honera Dada yetu
Hivi huyu jamaa aliwaletea na receipt ya hiyo pete au ndio hili mradi tu? embu tulete picha ya hiyo pete, make (au duka gani), tu-google hapa kwenye catalogue zao. Kama unajua bei ya pete hayo tuliombea utuwekee hayata kua magumu kuyajua. Wapembe nuksi tupu.
 
Kama nimemnunulia engagement ring mwenza wangu, kuna haja gani kutaarifu watu bei yake?
 
Umasikini wenu ndio una wasumbua pamoja na uandishi, hapao haieleweki mbeba box as mbeba box wa uspermarket au Mbeba box as somebody ana fanya kazi Canada.

Happiness ni celebrity wa TZ so kuelezewa kuhsu pete yake ni sawa kwani kuna wasichana wengi wana m idolize mrembo huyu na kutaka wawe kama yeye.

Naona mnazungumzia madawa vijijini ,ada na umasikini mwingine, tatizo nyie ni masikini, mna roho ya kimasikini ,kutwa kulalamika. Wewe hapo ulipo ina wezekana umenunua LCD TV screen ya inchi kubwa uliyo kua una i dream siku zote, , kwa uwezo wako hiyo nikama zawadi ya dola milliona moja kwako, sasa kwanini ununue hiyo wakti kuna ndugu zako huko kwenu LUKU inawashinda kulipa? basi tusinge fanya mambo kama kila mtu angefikiria hivyo.

Mtajuaje kama huyu Bwan harusi mtarajiwa ana kazi nzuri ambayo inamwezesha kupata mkopo ana akanunua hiyo Pete? na toka lini Nchi kama canada mtu akanunua pete hiyo kwa cash? mwache jama ampende mchuma wake kwaku engage kwa stoone la ukweli , ...wenye wivu saga chupa kunywa!
 
Nasikitika hamjanielewa!

Sijasema matumizi ya mlango wa KIA, bali unaingilia nyuma kwenda ile sehemu mahususi, hope this is clear no doubt sasa sawa shem?

hapo umesomeka nyeupe na nyeusi!!!! unajua mwizi akiwa mahali afu kitu kikapotea hata kama hajaiba atambiwa ni yeye!!
 
Msanii hapo unakosea kumlaumu Magese yeye hiy engagement rign ameshtukizwa atamwambiaje jamaa wa-save funds kusaidia watoto?...besides you never know labda wanasaidia watoto walio na matatizo....Mimi binafsi i think hiyo ni hela yao na wana haki ya kufanya kile wanachotaka na hatuwezi kuwapangiliya......

kwenye bold nakubaliana na wewe!!

hata hivyo kumsaidia mtu kuna kuwa na maana tu pale msaada unapotoka kwa nia njema na roho safi!!! sio unasaidi a ili uonekane, au kwa maslahi yako binafsi.

sijana tatizo lolote la binti mrembo kuvishwa pete ya thamani jamaa yake kaona she deserves!!!!

'mla chake hana aibu"................
 
Mchumba wake ni kaka mmoja mtoto wa FISADI aitwaye GERALD MGASHA ambaye ni mbeba boxi Canada, wadau hii imekaaje Dola $76,000

na nyie mlitaka abebe wake zenu
 
Mchumba wake ni kaka mmoja mtoto wa FISADI aitwaye GERALD MGASHA ambaye ni mbeba boxi Canada, wadau hii imekaaje Dola $76,000

na nyie mlitaka abebe wake zenu

hahaaaaaa lol!!! sina la kusema hapo mkuu Pdidy!!!
 
kama ni hivyo mpendwa sawa, maana niliona masa kama anakushawishi ili upotoke!!!

Habari ya Leo shostito!.....Umeamkaje?...Miye nimeamka salama ila ubavu wa kushoto unauma....

shosti ukumbuke basi na wewe siku masanilo anakuvisha pete uje utupe na thamani yake hahahaha-haha! Hallo!
 
Najua saizi ndo kumekucha sisi huku vumbini ndo twaenda kujilaza kwenye mbavu za umbwa.
Ndauli bella!!

Ndahii ela!...sa kuno!....eeh nawaonea wivu sana nyie mnaenda kulala huku ndiyo kwanza kumekucha!...But thank god its friday!....
 
Habari ya Leo shostito!.....Umeamkaje?...Miye nimeamka salama ila ubavu wa kushoto unauma....

shosti ukumbuke basi na wewe siku masanilo anakuvisha pete uje utupe na thamani yake hahahaha-haha! Hallo!

pole mpendwa msukuma kakufanyeje tena???

jamani shosti mie MASANILO na utukutu wake mbona ataniua kabla ya siku zangu??? hunitakii mema wewe
 
Back
Top Bottom